Natafuta mume

Natafuta mume

Kwa kweli hapa kuna walakini. Inaonyesha huyu ni mtumba grade ya chini kabisa
Hii mitandao kaka we acha tu kuna watu huwa nashindwa kuwaelewa unaweza ukakuta ni mwanaume anatafuta attention tu.
 
Huwa nikisikia mtu anasema yeye ni fundi kitandani mawazo hunipeleka kufikiria yafuatayo:
1. Mtu huyo anatumia mitandao miwili
2. Mtu huyo ni mbobezi wa kupiga deki 😎😎😎
 
Mwanaume mwenye vigezo unavyotaka Huwa anawake tayari aliekuwa nae wakat anaanza na 1 had wakafikia 100,na ukikuta yupo single maybe wametalikiana au mkew amefariki
Kwanza kwa sifa anazozitaka yeye hakuna na hawezi akampata never 😅
 
Sema nini😇😇😇, mimi ni Msabato.
Screenshot_20230625-085351_Instagram.jpg
 
Huwezi amini katika sifa zote 7, nimekwalifai 2 tu ya 5 na 6.
Ya kuwa tayari kupima VVU na hiyo nyengine.
 
Pata picha tunatindua ukuta na vishoka vumbi lote usoni.
Mchana shida ya vumbi usiku mbu na mafuta then uje take hela yangu kiwaki namna hii.

Kwako Mtoto wa Azzan Zungu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
bishoo na wewe unashika tindo ?
maajabu haya
 
Back
Top Bottom