Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,292
- 2,953
Daaaa safi sana simple genuine and clearAsalam aleykum
Naitwa M ni mwanamke wa miaka25 muslim nina elimu ya dini pamoja na stashahada ya pharmacy
Nahitaji mwanaume awe muislam mwenye kujitambua na anayejua nini maana ya mke enough pesa tutatafuta
0783330989
Miaka 25 ni mapema mkuu? labda ungesema miaka 15Mabinti wa kiislamu wanaolewa mapema.
Hapo ndio anakua mtaamu chuchu mwiba mtoto mtekeeMiaka 25 ni mapema mkuu? labda ungesema miaka 15
Natamani siku moja nije nikuoe weweMay Allah grant all your wishes; and more!
Kwani ni mwafrika aliyeenda kucheza soka ulaya huyo?Mmh hapo kwene 25 mbn km tumepigwa🤔 ni 25 kweli au ndo tutaelezana ukweli uko mbele kwa mbele wkt tuna watoto 2-3?😆
haya bana, na iwe heri.
Asalam aleykum
Naitwa M ni mwanamke wa miaka25 muslim nina elimu ya dini pamoja na stashahada ya pharmacy
Nahitaji mwanaume awe muislam mwenye kujitambua na anayejua nini maana ya mke enough pesa tutatafuta
0783330989
HahahaUmechoka kulala peke yako kama upanga
25 × 1.5 ndiyo umri wakeMiaka 25 tuu🙄🙄🙄
Nasemajeee, zile siku za wanawake 7 kumfata mume 1 wakitaka awaoe zinakaribia. Dalili zipo wazi
Tafuta pesa utaziona.Nasemajeee, zile siku za wanawake 7 kumfata mume 1 wakitaka awaoe zinakaribia. Dalili zipo wazi
Ndo kama unavyoona nineanza kuzipata. Au huamini kama ni mimi?Tafuta pesa utaziona.
Ni wewe mwamba naamini sana.Ndo kama unavyoona nineanza kuzipata. Au huamini kama ni mimi?
Humu Kuna watu makundi tofauti kuna wenye uhitaji na wengine ni mizaha tuKila la kheri