Natafuta mume

Natafuta mume

Mmh hapo kwene 25 mbn km tumepigwa🤔 ni 25 kweli au ndo tutaelezana ukweli uko mbele kwa mbele wkt tuna watoto 2-3?😆

haya bana, na iwe heri.
 
Hakika Allah akupe hitaj la moyo wako mpendane sana kwenye kila Hali iwe huzuni au furaha msisikilize mtu Wa 3 simamia katika misimamo yako Na iman yako ya dini Na mafundisho yake kumlea mumeo mana wanawake Wa sasa wamesahau hilo tu mtii mumeo.wanaume tunahtaji utii kutoka kwa mke.
 
ngoja niichukue hii namba huenda ikawa kheri
 
Asalam aleykum

Naitwa M ni mwanamke wa miaka25 muslim nina elimu ya dini pamoja na stashahada ya pharmacy

Nahitaji mwanaume awe muislam mwenye kujitambua na anayejua nini maana ya mke enough pesa tutatafuta

0783330989

Wewe unaitwa Asnath, iweje useme unaitwa M?
Hivi elimu ya dini ndio kwamba wewe ni sheikh ama?
 

Attachments

  • IMG_20230824_233637.jpg
    IMG_20230824_233637.jpg
    184.9 KB · Views: 12
Back
Top Bottom