Natafuta mume

Natafuta mume

Asalam aleykum

Naitwa M ni mwanamke wa miaka25 muslim nina elimu ya dini pamoja na stashahada ya pharmacy

Nahitaji mwanaume awe muislam mwenye kujitambua na anayejua nini maana ya mke enough pesa tutatafuta

0783330989
Unajiamini kiasi hicho mpk umetupia namba dada haha
 
Habari, wana jukwaa
Ambao hamjaoa msije mkaogopa

Kuna dada mmoja ambae ni best friend wangu na hanifichi kitu na Miongoni mwa watu wangu wa karibu na ni msaada mkubwa kwangu
Sasa huyu dada ana mumewe ambae yuko nje ya mkoa kikazi, huwa anachukua muda mwingi kazini nyumbani anakuja mara chache anaweza kukaa mpaka miezi mitatu bila kurudi kwa familia yake
Huyu dada huku aliko ameanzisha mahusiano mapya yaani ni kama ndoa vile

Kilichoniumiza kama mwanaume jamaa amerudi kuja kutazama familia yake
Sasa leo walikua wanasafari Kuna sehemu wanaenda, yule dada aliamua kunishirikisha kwenye hiyo safari, nilichoshangaa gari iliyotumika kwenye safari ni hiyo gari ya mchepuko,jamaa mwenye mke ndio alikua anaendesha gari ya mume mwenzake bila wasiwasi.

Je! Siku akigundua anasalitiwa na mkewe na anaemchapia ni yule aliewapa gari atachukua uamuzi gani kama sio mauwaji, maana hii ni dharau ya hali ya juu?

C&P

Nakala ziwafikie:
Leejay49
Unique Flower
Mkulima na Mfugaji
Jaji Mfawidhi
 
Mtaani vitoto vinaanza zinaa na udangaji bado wako vidogo ,wakifika sekondari ndio kabisa micharuko wa kiwango cha juu hivyo ni kheri kuolewa mapema kujihifadhi na zinaa.
 
Mtaani vitoto vinaanza zinaa na udangaji bado wako vidogo ,wakifika sekondari ndio kabisa micharuko wa kiwango cha juu hivyo ni kheri kuolewa mapema kujihifadhi na zinaa.
Vitoto miaka 17 18 19 ukiviotea wee vitamu kitu kipya kinyemi, Ila usidakwe utachezea mapanga
 
Back
Top Bottom