Natafuta Mume

Tulia lea watoto wako watatu acha kutanga tanga.
Watoto watatu wote unataka kumpa nani huo mzigo ?......
Sema unataka wa kukusaidia kulea watoto wako acha kutafuta huruma na unafuu wa maisha!...
Dah!,kama huwezi kumsaidia mwenzako basi usimuumizee.
 
Vipi ulimpata?
 
Hongera dada.

Nimefurahi tu nilivoona kabila ni mpare.

Kuna mpare mwenzio huku kakuwakilisha vyema saana Kwa upande wa mwanamke mwerevu.

Siku moja nilikuwa naongea na mzee Mmoja hivi anayekaribia kustaafu.

Nikajikuta namshirikisha mambo yangu yakifamilia na changamoto yangu juu ya mke wangu namna anavokuwa mgum kwenye mambo ya maendeleo.

Huyu mzee akaniambia yeye alishawahi kuoa mke kama wangu na walikaa kwenye ndoa zaid ya miaka 12.

Lakini baadae aliamua kuachana nae baada ya kuona hatakuwa na maendeleo yyt na huyu mke kama atang'ang'ania kuwa nae.

Baadae akakutana na mwanamke mpare.

Akamuoa, Kwa maelezo yake alisema ni mke mtiifu saana, mchapa kazi, Hana ubaguzi Kwa watoto aliyewakuta, mcheshi Kwa mume wake na mengine mengi aliniambia.

Akanisisitiza kuwa mke wangu sio wakuendelea kuwa nae kama nahitaji kupiga hatua za maendeleo.

Kwahiyo nilivoona kwenye kabila umesema we ni mpare nikawaza kuwa huenda wapare mko vizuri kwenye ndoa.

Mungu tu akujalie upate mume mwenye Nia kama yako mje muishi pamoja.

Vijana changamkieni fursa hii, nahisi wapare wako vizuri kwenye ndoa.
 
Jamani Wacha Msangi awe shemeji yangu! Njoo pm haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…