Hivi menopause huwa inaanzia age ngapi vile?
Hivi menopause huwa inaanzia age ngapi vile?
Hivi menopause huwa inaanzia age ngapi vile?
mkuu....dada kasema kama huna la kuongea piga kimya.....menopause hapa imekujaje.......?
Miaka 35 mpaka 40.
Elimu kuanzia form six na kuendelea.
Awe mfanya kazi au mfanya biashara halali.
Awe mkristo.
Anayejiamini kuwa yeye ni kichwa cha familia na mchapa kazi.
Mimi nina miaka 35. mkristo
Elimu degree.
Nafanya kazi.
Kwa aliye serious plz tuwasiliane kwa pm au email valevale1133@yahoo.com.
Kama huna la maana la kuongea piga kimya na utabarikiwa.
Vigezo na masharti kuzingatiwa..
Unatakiwa uanze urafiki, uchumba then awe mume kama mambo yataenda poa.
>Sasa wewe unatafuta mume; huoni unaenda kinyume: akuwa mume, then mchumba thn rafiki
Hivi menopause huwa inaanzia age ngapi vile?
HAYA SASAAAAAAA!!!! WANA MMEPATA PAKUPONEA KABIASAAAAAA.
Hebu changamkieni tenda kabla dada hajabadili mawazo,
Fanyeni fastaaaa.
Menopause inaanza 45-55 years kwa normal woman, but for a smoker, akiwa na medical history i.e drug addict, poor health huwa inawahi, inaweza ikaanza kwenye early 30's au late 60's....kwa hiyo usiogope ndugu just tupa karata yako.Hivi menopause huwa inaanzia age ngapi vile?
Menopause ni kukoma kwa hedhi ya mwanamke kiashirio cha kukoma kwa utengenezaki wa mayai katika mfumo wa ovari. Huwa inaanza mwanmke anapofikia umri wa miaka 45-55, ambapo mwanamke hukosa hedhi kwa kipindi cha miezi 12 mfululizomenopause inahusiana nini na kutafuta kwake mume?, kwanza menopause ni nini?
au MEN PAUSE je????????????
Menopause ni kukoma kwa hedhi ya mwanamke kiashirio cha kukoma kwa utengenezaki wa mayai katika mfumo wa ovari. Huwa inaanza mwanmke anapofikia umri wa miaka 45-55, ambapo mwanamke hukosa hedhi kwa kipindi cha miezi 12 mfululizo