Natafuta mume.

Natafuta mume.

Miaka 35 mpaka 40.
Elimu kuanzia form six na kuendelea.
Awe mfanya kazi au mfanya biashara halali.
Awe mkristo.
Anayejiamini kuwa yeye ni kichwa cha familia na mchapa kazi.

Mimi nina miaka 35. mkristo
Elimu degree.
Nafanya kazi.
Kwa aliye serious plz tuwasiliane kwa pm au email valevale1133@yahoo.com.

Kama huna la maana la kuongea piga kimya na utabarikiwa.
Vigezo na masharti kuzingatiwa..
Mimi kabla ya yote utwambie wewe unafanya kazi gani na kipato chako kwa mwezi nishilling ngapi hapo tuone kama masharti na vigezo vimezingatiwa nihayo tu!
 
Ubarikiwe katika hili lakini hapa ni kukatizana tamaa....
 
Unakumbuka shuka asubuhi? Ulikuwa wapi hadi umez..e..e..k...a??
 
Ciello huyu mwingine kama yule wa jana pensi kavalia wapi msulia aje kuvalia kwa watoto watu lol
 
Last edited by a moderator:
Hivi menopause huwa inaanzia age ngapi vile?
Asante kwa swali lako..nafikiri ushajibiwa.

Hujui yawezakuwa aliambiwa na Mungu hivyo je Mungu si zaidi ya menopause?na kama aamefata neno la Mungu wewe ni nani uende kinyume na yeye?sara alizaa akiwa na miaka 90,menopause ipo wapi sasa hapo?jitose kama vipi mi tayari ninae Madame B
Asante kwa majibu mazuri

Menopause inaanza 45-55 years kwa normal woman, but for a smoker, akiwa na medical history i.e drug addict, poor health huwa inawahi, inaweza ikaanza kwenye early 30's au late 60's....kwa hiyo usiogope ndugu just tupa karata yako.
Asante kwa majibu mazuri
 
Unatakiwa uanze urafiki, uchumba then awe mume kama mambo yataenda poa.

>Sasa wewe unatafuta mume; huoni unaenda kinyume: akuwa mume, then mchumba thn rafiki

Ndio maana nimesema masharti na vigezo kuzingatiwa..btw kwa wanaosoma biblia hivi adamu na eva walianza urafiki then uchumba halafu ndoa???
 
HAYA SASAAAAAAA!!!! WANA MMEPATA PAKUPONEA KABIASAAAAAA.
Hebu changamkieni tenda kabla dada hajabadili mawazo,
Fanyeni fastaaaa.
Mie sio mama huruma..Na sikupost thread kupoteza wakati..Thanks to Invisible and the team kwa kuweka hii subforum.

Unakumbuka shuka asubuhi? Ulikuwa wapi hadi umez..e..e..k...a??
Asante kijana google hata wewe kuna siku utazeeka.. Kwani wazee hawana haki ya kuwa na wenzi??

Ciello huyu mwingine kama yule wa jana pensi kavalia wapi msulia aje kuvalia kwa watoto watu lol
nivea Sijataka kuolewa na mtoto wako.Nimeweka wazi kuwa nataka "mzee" mwenzangu...Hata hivyo Mungu akubariki na hongera kwa ujana na ndoa nzuri.

umri umeshaku2pa mkono dada,pole!
Asante lakna naamini Mungu ataendelea kunipa uzima na nastahilin kuwa na mtu.
 
Last edited by a moderator:
Mimi kabla ya yote utwambie wewe unafanya kazi gani na kipato chako kwa mwezi nishilling ngapi hapo tuone kama masharti na vigezo vimezingatiwa nihayo tu!
Ndio maana nimesema aliye serious tuwasiliane kwa pm hayo yote yatapata majibu
 
Daaah bahati mbaya mimi natafuta rafiki ambae atakuja kuwa mpenzi, mchumba na kisha mke,

Sasa kumbe ulishaolewa na yawezekana mmepotezana tu na leo unamtafuta mumeo, au nimeelewa vibaya?

Dada kipenzi mume hatafutwi, kwa maana na tafsri ya MUME ni kuwa unaemtafuta ni mumeo amepotea na umetoa tangazo la kumsaka!

Badilisha kichwa cha uzi kiwe unatafuta mpenzi atakae kuja kuwa mchumba na kisha MUME wa maisha yako!

Wengi wanakukejeli hapa hujajua kosa lililopo? Kosa lipo kwenye huu uzi wako urekebishe kidogo rafiki kipenzi nakuhakikishia utapata mume kati ya hawa hawa wanakutania hapa!
 
Asante Yericko..Nimekupata...
Hata hivo naamini kuwa kama mtu ni muelewa basi ataelewa..Ushauri wako ni mzuri lakn sijui jinsi ya kuedit au kubadilisha tittle..
 
Vigezo karibu vyote ninavyo tatizo umri uko chini ya hapo, je naruhusiwa kuleta kadimisho yangu.
 
Back
Top Bottom