Mimi kabla ya yote utwambie wewe unafanya kazi gani na kipato chako kwa mwezi nishilling ngapi hapo tuone kama masharti na vigezo vimezingatiwa nihayo tu!Miaka 35 mpaka 40.
Elimu kuanzia form six na kuendelea.
Awe mfanya kazi au mfanya biashara halali.
Awe mkristo.
Anayejiamini kuwa yeye ni kichwa cha familia na mchapa kazi.
Mimi nina miaka 35. mkristo
Elimu degree.
Nafanya kazi.
Kwa aliye serious plz tuwasiliane kwa pm au email valevale1133@yahoo.com.
Kama huna la maana la kuongea piga kimya na utabarikiwa.
Vigezo na masharti kuzingatiwa..
Acha hizo, normal 48-52 yrs, muda wa gud upSijui nimesahau...! Lakin c inaanza 38yrs!..
Asante kwa swali lako..nafikiri ushajibiwa.Hivi menopause huwa inaanzia age ngapi vile?
Asante kwa majibu mazuriHujui yawezakuwa aliambiwa na Mungu hivyo je Mungu si zaidi ya menopause?na kama aamefata neno la Mungu wewe ni nani uende kinyume na yeye?sara alizaa akiwa na miaka 90,menopause ipo wapi sasa hapo?jitose kama vipi mi tayari ninae Madame B
Asante kwa majibu mazuriMenopause inaanza 45-55 years kwa normal woman, but for a smoker, akiwa na medical history i.e drug addict, poor health huwa inawahi, inaweza ikaanza kwenye early 30's au late 60's....kwa hiyo usiogope ndugu just tupa karata yako.
Unatakiwa uanze urafiki, uchumba then awe mume kama mambo yataenda poa.
>Sasa wewe unatafuta mume; huoni unaenda kinyume: akuwa mume, then mchumba thn rafiki
umri umeshaku2pa mkono dada,pole!
Mie sio mama huruma..Na sikupost thread kupoteza wakati..Thanks to Invisible and the team kwa kuweka hii subforum.HAYA SASAAAAAAA!!!! WANA MMEPATA PAKUPONEA KABIASAAAAAA.
Hebu changamkieni tenda kabla dada hajabadili mawazo,
Fanyeni fastaaaa.
Asante kijana google hata wewe kuna siku utazeeka.. Kwani wazee hawana haki ya kuwa na wenzi??Unakumbuka shuka asubuhi? Ulikuwa wapi hadi umez..e..e..k...a??
nivea Sijataka kuolewa na mtoto wako.Nimeweka wazi kuwa nataka "mzee" mwenzangu...Hata hivyo Mungu akubariki na hongera kwa ujana na ndoa nzuri.Ciello huyu mwingine kama yule wa jana pensi kavalia wapi msulia aje kuvalia kwa watoto watu lol
Asante lakna naamini Mungu ataendelea kunipa uzima na nastahilin kuwa na mtu.umri umeshaku2pa mkono dada,pole!
Ndio maana nimesema aliye serious tuwasiliane kwa pm hayo yote yatapata majibuMimi kabla ya yote utwambie wewe unafanya kazi gani na kipato chako kwa mwezi nishilling ngapi hapo tuone kama masharti na vigezo vimezingatiwa nihayo tu!
Asante Yericko..Nimekupata...Daaah bahati mbaya mimi natafuta rafiki ambae atakuja kuwa mpenzi, mchumba na kisha mke,
Sasa kumbe ulishaolewa na yawezekana mmepotezana tu na leo unamtafuta mumeo, au nimeelewa vibaya?
Dada kipenzi mume hatafutwi, kwa maana na tafsri ya MUME ni kuwa unaemtafuta ni mumeo amepotea na umetoa tangazo la kumsaka!
Badilisha kichwa cha uzi kiwe unatafuta mpenzi atakae kuja kuwa mchumba na kisha MUME wa maisha yako!
Wengi wanakukejeli hapa hujajua kosa lililopo? Kosa lipo kwenye huu uzi wako urekebishe kidogo rafiki kipenzi nakuhakikishia utapata mume kati ya hawa hawa wanakutania hapa!
Huku wanetu wote wapo shwari mungu anawatutangulia kwa kila jambo!Za kijana anaendeleaje kwa sasa??
Msalimie sana na jpli njema!kijana hajambo kabisa anatembea kwa sasa namshukuru Mungu.