Natafuta mume

Natafuta mume

Nna miaka 24 lakini nipo tayari kuwa na wewe,Vigezo vilivyobaki nnavyo.
 
Naitwa Teckla, miaka 35 nina mtoto mmoja, Nafanya kazi Dar. Natafuta mume aliye serious na kuanzisha familia. Vigezo awe mkristo na awe na kazi au biashara, hata kama akiwa na mtoto ruksa. Umri kuanzia miaka 34 mpaka 45. Aliye serious ani PM.

Utampata. Keep looking
 
Back
Top Bottom