Natafuta mume

Hivi unavyoandika maneno haya una maana gani? Acha kuwa na ufinyu wa akili wewe............
DSpecial unadhani watu wote huku wana akiri sawa sawa!!yaani walipo wanafikiri kukera watu!!nadhani tungekuwa tunatumia true identity ingepunguza wajinga kama huyo jamaa!!binafsi nimekwazika na comment yake!
 
Last edited by a moderator:
Toa vgezo vya nyongeza, au akija mwanaume yeyote wa kislamu atakubaliwa?
 
hivi unavyoandika maneno haya una maana gani? Acha kuwa na ufinyu wa akili wewe............

wewe ndo una ufinyu wa mawazo na akili; unafikiri wanavyotufanyia tunapenda? Kama ni wewe koma na ukomae
 
wewe ndo una ufinyu wa mawazo na akili; unafikiri wanavyotufanyia tunapenda? Kama ni wewe koma na ukomae

Sasa ndugu yangu mtu kaandika thread yake kuwa anatafuta Mume, wewe unaanza kumwambia awe anatembea na kiberiti anachoma moto makanisa........sasa kiukweli hata wewe ukiangalia kutafuta mume na kuchoma makanisa kuna uhusiano gani hapa? au unataka tu kuanzisha mijadala mingine ya kuendekeza chuki zisizokuwa za msingi hapa jamvini?

Ila fahamu sasa hivi ni mtu mzima wewe......utu uzima dawa bwana, tambua kwamba neno lako moja tu unapolitamka hapa kwenye mitandao kama hii linaweza likaleta effect kubwa sana katika jamii......basi kama unaona ni sahihi, ni bora hata ungeanzisha thread yako halafu uandike haya uliyo yaandika humu. Hii ni Love connect, sehemu maalum kwa ajili ya watu kutafuta wachumba humu, sasa wewe mtu mzimaa na akili zako timamu kabisa umeona mtu anatafuta mume halafu unaanza kuingiza habari za kuchoma moto makanisa humu, halafu kwa upeo wako unajiona upo sahihi kabisa kwa hilo.........wapi na wapi mkubwa, haya uliyoandika kwa hapa ni matope tu hamna kitu hapa......

Halafu mtu kama wewe sidhani kama unaishi na majirani zako vizuri wewe, lazima utakuwa ni mtu ambae huna uhusiano mzuri hata na majirani wanaokuzuka.

Mkubwa, najua hutaki kuonekana kuwa umekosea kwa ulicho andika hapa........it's oky!! ngoja tukubali kuwa mimi ndie mwenye ufinyu wa mawazo halafu tufanye wewe ndio mshindi katika hili........usijali umeshinda mkubwa, upo right....

May be because this is JAMII FORUMS bwana......where we dare to talk openly. Mpaka hapa mimi sina mengi kiongozi, ngoja tuwaachie Great Thinkers na wana jamvi wenyewe ndio watakuvalue katika hili.....
 
tumekusikia , mwanamke mwema huiga mambo mema. (hata bi KHADIJA) alifanya hivi, tafadhali tuwasiliane kama uko ktk nia......... 0713933307, inshalhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…