DSpecial
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 482
- 160
Awe anatembea na kiberiti kwa ajili ya kuteketeza makanisa kwa moto!
Hivi unavyoandika maneno haya una maana gani? Acha kuwa na ufinyu wa akili wewe............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awe anatembea na kiberiti kwa ajili ya kuteketeza makanisa kwa moto!
DSpecial unadhani watu wote huku wana akiri sawa sawa!!yaani walipo wanafikiri kukera watu!!nadhani tungekuwa tunatumia true identity ingepunguza wajinga kama huyo jamaa!!binafsi nimekwazika na comment yake!Hivi unavyoandika maneno haya una maana gani? Acha kuwa na ufinyu wa akili wewe............
Natafuta mume jaman....awe muslim jaman
Hivi unavyoandika maneno haya una maana gani? Acha kuwa na ufinyu wa akili wewe............
haya wanaume jamani...bi harusi huyo jamani
hivi unavyoandika maneno haya una maana gani? Acha kuwa na ufinyu wa akili wewe............
wewe ndo una ufinyu wa mawazo na akili; unafikiri wanavyotufanyia tunapenda? Kama ni wewe koma na ukomae