Natafuta mume

Natafuta mume

AUNT HAPPY

Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
10
Reaction score
1
Habari zenu wana jf.natafuta mume.nina miaka 31 nina Elimu ya Diploma ya Procurement and supply nimeajiriwa serikalin, nina mtoto wa kiume wa miaka 6,mm ni mnene wa wastan,rangi ni maji ya kunde.nina upendo wa kweli kabisa.sifa za mume ,nataka awe na umri wa miaka kati ya 37 hadi 45 awe na Elimu angalau inayokidhi kiwango,awe na upendo wa kweli,awe anafanya kazi au mjasiriamali na awe anajishughulisha.alieguswa ani PM
 
wanaotumia majina ya auntxxx wengi ni mashoga, natumaini wewe si shoga
 
Nadhan huo ni mtazamo wako tu,mm c shoga ni mwanamke nilie kamilika haswaa!
 
Utapata ndg.

Maana si umetangaza Tender
Kila la Heri.
 
Ana miaka 35-42, hajaoa anakusubiri wewe umalize diploma?
Jamani, hebu kuweni realistic kidogo

Labda uanataka aliyeachana na mkewe, mjane au nyumba ndogo
 
Yawezeka ameachana,au alifiwa lkn wote ni wanaume nao wana haki ya kupata mke.
 
jaman umri c kigezo cha mapenz ww unatakiwa uwaone alafu uwape interview ambayo itausisha ucha mungu wa ukwel
 
mimi ninavigezo vyote, ni mrefu wa wastani,ninadegree 2 nimejiajiri, nina watoto 4 nimezaa na mama tofauti, ninatafuta mtu wa kunisaidia kulea hawa watoto.tuwasiliane
 
Kila kheri Ant Happy
Kina happy siku zote ni warembo na huwa ni watu wa peace sana
Ningekuwa bado sija mpata mama j ningesema na wewe!
 
Habari zenu wana jf.natafuta mume.nina miaka 31 nina Elimu ya Diploma ya Procurement and supply nimeajiriwa serikalin, nina mtoto wa kiume wa miaka 6,mm ni mnene wa wastan,rangi ni maji ya kunde.nina upendo wa kweli kabisa.sifa za mume ,nataka awe na umri wa miaka kati ya 37 hadi 45 awe na Elimu angalau inayokidhi kiwango,awe na upendo wa kweli,awe anafanya kazi au mjasiriamali na awe anajishughulisha.alieguswa ani PM
Mi ninakutaka sana tu ila bado miaka 2 ili nifikie vigezo vya umri' ila natafuta mke'
 
Yawezeka ameachana,au alifiwa lkn wote ni wanaume nao wana haki ya kupata mke.

Mm nina vigezo vyote hivyo!Kama kweli ww upo serious anza kuni PM ukutane na JF's Mandingo!
Nakusibiri chemba!
 
Back
Top Bottom