AUNT HAPPY
Member
- Mar 29, 2013
- 10
- 1
Habari zenu wana jf.natafuta mume.nina miaka 31 nina Elimu ya Diploma ya Procurement and supply nimeajiriwa serikalin, nina mtoto wa kiume wa miaka 6,mm ni mnene wa wastan,rangi ni maji ya kunde.nina upendo wa kweli kabisa.sifa za mume ,nataka awe na umri wa miaka kati ya 37 hadi 45 awe na Elimu angalau inayokidhi kiwango,awe na upendo wa kweli,awe anafanya kazi au mjasiriamali na awe anajishughulisha.alieguswa ani PM