Natafuta mume


Aya sasa wenye kuhitaji mke!!ila Keria tatizo umri unaouhitaji wengi wana ndoa zao ivyo so jua utapata kaugumu kidogo;;;;ol the best.
 
Aya sasa wenye kuhitaji mke!!ila Keria tatizo umri unaouhitaji wengi wana ndoa zao ivyo so jua utapata kaugumu kidogo;;;;ol the best.

anaweza akapata tu tusimkatishe tamaa, sababu kuna wale waliokuwa xcul wana bukua hadi kuja kushtukia kuna suala la kuoa, kuna walioacha wake zao, kuna wengine n wajane
 

Dah! Hili suala la kabila imekua issue
 
Mi sijaoa na ninahiji mke, ila umenizidi miaka mingi,tena kwny kabila hapo mmh, ngoja niwaachie wenzangu wajaribu bwana we! mwenye macho haambiwi tazama...
 

Dada nilidhani ntakupata kumbe unawataka wazee wenzio!! Ulikua wapi hadi umefikisha miaka yote hiyo? Pole, unaweza pata mgane au mume wa mtu...
 

wakati unatongozwa ukiwa chuo ulijidai una mskaji yupo USA, ameyeyuka au? Kwa ushauri tu, Mume wa kweli unatakiwa usali sana. Mbona hujaweka tabia zako? Je umeokoka na unampenda Yesu??
 
Vigezo ulivyotaja na sifa zako naona kama utapata ugumu kidogo.
Kila la kheri
 
haya ma-andunje wenye digirii jiachiane.
 
Ww unatafuta mme na mashariti?navigezo hivyo hupati..umepanic sister
 
mdada wa watu amekuwa open lakini mnavyomshambuliaaa, loh!
 
mapenzi haychagui dini,dini inachhagua mapenzi patamu hapo!!!
 
Weka picha nikutathmini kwanza, vigezo vyako nnavyo, ila mimi nna kono la sweta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…