Natafuta mume

Natafuta mume

Hi wana JF.Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32,mzaliwa wa K'njaro.Nina elimu ya Chuo Kikuu na ni muajiriwa serikalini.Muonekano wangu ni mweupe,mfupi na umbo la wastani.Najitokeza katika safu hii kwa mara ya kwanza, natafuta mwanaume wa kikristo, mweupe,miaka 33-36 ambaye km tukiridhiana tutanza urafiki, uchumba an then ndoa. Awe na elimu ya chuo kikuu,mpenda maendeleo,asiyetumia kilevi n aliye tayar ani PM

Aya sasa wenye kuhitaji mke!!ila Keria tatizo umri unaouhitaji wengi wana ndoa zao ivyo so jua utapata kaugumu kidogo;;;;ol the best.
 
anaweza akapata tu tusimkatishe tamaa, sababu kuna wale waliokuwa xcul wana bukua hadi kuja kushtukia kuna suala la kuoa, kuna walioacha wake zao, kuna wengine n wajane
 
Si jambo baya mtu kutaja vigezo vya mtu anayemtaka, tatizo ni mambo mawili, interval ya umri ( 33-36) na labda uchaga, maana utakuwa ume confine your search kwa kundi dogo la wanaume( wenye huo umri na conceivably wachaga wenzio maana wachaga wanawezana wenyewe, mwenzangu na mimi ukaoe mchaga unataka wandengereko wenzagu wasikanyage kwangu!)

Dah! Hili suala la kabila imekua issue
 
Mi sijaoa na ninahiji mke, ila umenizidi miaka mingi,tena kwny kabila hapo mmh, ngoja niwaachie wenzangu wajaribu bwana we! mwenye macho haambiwi tazama...
 
Hi wana JF.Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32,mzaliwa wa K'njaro.Nina elimu ya Chuo Kikuu na ni muajiriwa serikalini.Muonekano wangu ni mweupe,mfupi na umbo la wastani.Najitokeza katika safu hii kwa mara ya kwanza, natafuta mwanaume wa kikristo, mweupe,miaka 33-36 ambaye km tukiridhiana tutanza urafiki, uchumba an then ndoa. Awe na elimu ya chuo kikuu,mpenda maendeleo,asiyetumia kilevi n aliye tayar ani PM

Dada nilidhani ntakupata kumbe unawataka wazee wenzio!! Ulikua wapi hadi umefikisha miaka yote hiyo? Pole, unaweza pata mgane au mume wa mtu...
 
Hi wana JF.Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32,mzaliwa wa K'njaro.Nina elimu ya Chuo Kikuu na ni muajiriwa serikalini.Muonekano wangu ni mweupe,mfupi na umbo la wastani.Najitokeza katika safu hii kwa mara ya kwanza, natafuta mwanaume wa kikristo, mweupe,miaka 33-36 ambaye km tukiridhiana tutanza urafiki, uchumba an then ndoa. Awe na elimu ya chuo kikuu,mpenda maendeleo,asiyetumia kilevi n aliye tayar ani PM

wakati unatongozwa ukiwa chuo ulijidai una mskaji yupo USA, ameyeyuka au? Kwa ushauri tu, Mume wa kweli unatakiwa usali sana. Mbona hujaweka tabia zako? Je umeokoka na unampenda Yesu??
 
Vigezo ulivyotaja na sifa zako naona kama utapata ugumu kidogo.
Kila la kheri
 
haya ma-andunje wenye digirii jiachiane.
 
mdada wa watu amekuwa open lakini mnavyomshambuliaaa, loh!
 
mapenzi haychagui dini,dini inachhagua mapenzi patamu hapo!!!
 
Weka picha nikutathmini kwanza, vigezo vyako nnavyo, ila mimi nna kono la sweta
 
Back
Top Bottom