Natafuta mume

nikijipaka chokaa utanikubari? maana mweupe sijui kama kunabinadamu mweupe, mini niwa njano
 
Mzee wa upako wa chanel ten au mchungaji gettrude au christina shusho,au umejaribu kuwaomba wakutafitie mchumba kanisani?
 
^^
Ajuaye yote ni Mungu.
Nakuombea Mungu umpate aliyae haki yako.
Usikatishwe tamaa na yeyote,maadam una nia uwe na amani.
Akutakiae baraka,
Himidini.
^^
Amina kakangu.ubarikiwe
 
Hawatafutwi humu kwenye mitandao
 
Just ni-pm
 
Kwani ukiolewa na mtu wa elimu ya kawaida tu utapungukiwa nini au hautaitwa KERIA nakushauri angalia mtu mwenye upendo wa dhati na anayekujali achana na masharti yasiyo na maana
 
Duh, miaka 32? Sorry kukuliza lakini, haraka haraka umevunja mahusiano ya kimapenZi ngapi? Nawaogopa mimi mmh heri la7 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…