bonna
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 855
- 519
Wewe,humu sio fb na tweeter ambako wamejaa watoto. Humu kuna bibi na babu zako. Jaribu kufuatilia coments za watu ndo utajua huku sio kwa watoto. Just jiulize Andrew Nyerere ana miaka mingapi? Yuko humu na age mate wake kibao!
OK sawa mi nakubali kuwa labda sina umri mkuubwa kivile ila nnachojua ni kuwa nimekuwa sana kimawazo..kulingana na mazingira na vitu vingine...na mimi still namshangaa 44 yrs unatafuta mume ili iweje...hata menopause keshaingia possibly...what for??? 44 yrs uko hai...ni muda muafaka wa kumtafuta mungu kwa nguvu zote na kuhakikisha unaonyesha vijana na watoto (wajukuu) njia... ebu fikiria bana...acha kufata mkumbo na mambo ya kisasa...fb inaweza kua na watoto sawa..ila twitter sikubaliani na wewe...mimi siko fb...niko twitter...twitter hamna watoto/au watu wavivu kupambanua mambo.