Natafuta muvi kali zenye sifa kama hizi!

Point less

Senior Member
Joined
Jun 24, 2020
Posts
194
Reaction score
98
Kwanza ziwe za kuchekesha
Pili ziwe za kutisha
Tatu ziwe za maajabu
Nne ziwe na mkono wa kufa mtu
Kusiwe na huzuni kwenye muvi hiyo
Na pia kama katuni pia napendelea
Naombeni tafadhali NA PICHA ZAKE IKIWEZEKANA
 
ila kila sifa ina weza kuwana muvi yake basi nipe kama zipo single 🙂
Ready or not.
Kickass
Wrong turn zote
RIPD
Resident evil
Kuna movie moja ya kikorea ina mazombie kuna dem yeye alibadirika nusu akawa zombie nusu mtu wa kawaida nimeisahau jina.
 
Ready or not.
Kickass
Wrong turn zote
RIPD
Resident evil
Kuna movie moja ya kikorea ina mazombie kuna dem yeye alibadirika nusu akawa zombie nusu mtu wa kawaida nimeisahau jina.
i Will Go After thanks
 
izo ni movie 6 tofauti

ila chukua
danger close
7 prisoners
city of God
saving privte ryan
mad max
 
Kwanza ziwe za kuchekesha
Pili ziwe za kutisha
Tatu ziwe za maajabu
Nne ziwe na mkono wa kufa mtu
Kusiwe na huzuni kwenye muvi hiyo
Na pia kama katuni pia napendelea
Naombeni tafadhali NA PICHA ZAKE IKIWEZEKANA
Katuni umeshaangalia RIO ila ziko 2
 
Milivoelewa kwamba muvi moja na hizo sifa zooote. Asee hakuna
[emoji3][emoji3][emoji3]mtoa mada ni mtumiaji wa ule moshi ambao ukiuvuta,akili inageuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…