Natafuta muvi kali zenye sifa kama hizi!

Natafuta muvi kali zenye sifa kama hizi!

Kwanza ziwe za kuchekesha
Pili ziwe za kutisha
Tatu ziwe za maajabu
Nne ziwe na mkono wa kufa mtu
Kusiwe na huzuni kwenye muvi hiyo
Na pia kama katuni pia napendelea
Naombeni tafadhali NA PICHA ZAKE IKIWEZEKANA
Kaangalie sinema ya Yesu kali sana aisee ile ya Kiswahili
 
Back
Top Bottom