Natafuta muwekezaji kwenye Biashara ya Photography, Video Production na Graphics Design

Kama hujapata kazi basi vuta subira. Ndani ya mwezi huu nitakutafuta. Nina mpango wa kuingia kwenye hii industry. Ngoja nii save namba yako.

Napenda sana kufanya kazi na vijana wenye vipaji na wanao jitambua. Naamini na wewe utakua ni mmoja wao.
amnashida mkuu kariu sana sana
 
Masoko yapo ?, Unaweza kupata wateja?

Kama ndio ushauri wangu unaweza usitafute hata partner anza kidogo kidogo kwa vifaa vya kuunga unga na hata kuazima, unakuwa according muda unavyopita. Unless huyo partner atakusaidia kwenye marketing na kukupatia wateja, kama ni mtaji tu na wewe unafanya kila kitu huenda isiwe the best option
 
ni kweli lakini nimefanya iyo njia kwa mda mrefu na ni ngumu sana kwa huku nilipo asa mtu kukupa vifaa inakuwa shida kama anaona wewe unacha kumsaidi na pili mtu kukuamini kukupa vifaa ni changamoto pia maana nimepitia mengi mda mwingine adi napoteza kazi kutokana na kukosekana kwa vifaa na changamoto kubwa inayo nikabiri kwa sasa ni vifaa kuhusu wateja sina shaka maana ubora wa kazi ndio unanitambulisha sokoni mara zote
 
kwani lazima uanze na vifaa vyote, kwanini usiwe na labda camera na video shooting pekee kwanza na mambo ya editing uyafanye kwa wadau nadhani ukiwa na pc tu unaweza kufanya mengi, pili hauna hata ndugu au jamaa wa kukufadhili upate hivyo vichache ?, Pili kama unao wadau na unaweza kupata kazi tafuta kazi kwa jina lako/kampuni yako alafu fuata hao washikaji wenye vifaa uwape percent kidogo ili mfanye nao kazi, yaani wewe marketing yako, wao vifaa vyao... win, win situation...
 
Daah mungu akubariki umenifungua kitu kwenye maelezo yako nadhani ni kukifanyia kazi sasa asante sana
 
Mkuu ninachoweza kukushauri ni usije ukawa mzinguaji tu. Huo ndio ushauri wangu kulingana na vijana niliowahi kufanya nao kazi hizo.

Kwa atakayehitaji kuwekeza kwa kijana aandae angalau mtaji wa 15Mil, mkiwa na strategy nzuri ni miaka miwili au mitatu tu unarudisha fedha yako. Ila inahitaji ubunifu na utulivu wa hali ya juu.
 
Hyo ndio mipango ss ubunifu unatoka wap hapo coz au ww unawezo wakufnya hcho kitu maana sio kila muwekezaji anaweza jua mifumo ya biashara amabayo anaingia ubia
 
shukrani mkuu unajuwa chnagamoto ndo uwazina anzia hapo baada ya watangulizi wetu kufanya vitu vya ovyo inaleta ugumu ata sisi wengine kuaminiwa lakini kwa upande wangu najiamini najuwa nini nafanya na najuwa nahitaji kuwa nani ko siwezi fanya ujinga wa aina yoyote
 
Mkuu ninachoweza kukushauri ni usije ukawa mzinguaji tu. Huo ndio ushauri wangu kulingana na vijana niliowahi kufanya nao kazi hizo.

Kwa atakayehitaji kuwekeza kwa kijana aandae angalau mtaji wa 15Mil, mkiwa na strategy nzuri ni miaka miwili au mitatu tu unarudisha fedha yako. Ila inahitaji ubunifu na utulivu wa hali ya juu.
ni kweli mkuu nazania unaelewa hii tasnia inataka mtaji sana kutokana na vifaa vyake kuwa ghali l
 
Hyo ndio mipango ss ubunifu unatoka wap hapo coz au ww unawezo wakufnya hcho kitu maana sio kila muwekezaji anaweza jua mifumo ya biashara amabayo anaingia ubia
kuhusu usimamizi wa kazi nipango ya ufanyaji kazi masoko na kila kitu kuhusu ubunifu wa kazi hii ntadili navyo mwenyewe ila kama na yeye anamawaza pia tunaweza ku share ila kama hana ujuzi wa aina yoyote amnashida ntaliongoza jahazi pasinashaka
 
Mkuu ninachoweza kukushauri ni usije ukawa mzinguaji tu. Huo ndio ushauri wangu kulingana na vijana niliowahi kufanya nao kazi hizo.

Kwa atakayehitaji kuwekeza kwa kijana aandae angalau mtaji wa 15Mil, mkiwa na strategy nzuri ni miaka miwili au mitatu tu unarudisha fedha yako. Ila inahitaji ubunifu na utulivu wa hali ya juu.
sijui ata ntapata wapi nguzu ya kuwa mzinguaji wakati mimi pia nahitaji kuonesha kile nilicho nacho kupitia yeye kila nikisoma hii comment yako inanifikilisha sana mkuu ujinga wa watu wachahe unatukosha uaminifu wengi na unatughalimu wengi
 
Back
Top Bottom