Natafuta muwekezaji kwenye Biashara ya Photography, Video Production na Graphics Design

wakuu samahani kama kuna mtu alijalibu kuwasiliana na mimi izi siku za karibuni na akuweza kunipata au kushindwa kuwasiliana vizuri niliapata shida kwenye simu yangu ivyo niwaombe tu samahani na tunaweza kuendelea kuwasiliana tena 0743150860
 
Pitia uzi wake huu, ( Ugumu wangu )and then mtafute PM.
 
nilivyo soma huu uzi daah mwili umetetemeka aiseeeee
 
shukurani mkuu kumbe alishatoka na tangazo kabisa sijui nili fail wapi mimi ngoja ni mcheki
Kula jambo lina wakati wake. Nafasi bado iko wazi na ndo maana amekutafuta.

Ukikwama mahali hasa kwenye eneo la kuandaa mpango kazi, chat me up, I will be there to help.

All the best.
 
Huyu jamaa alikuja na uzi, amekoswakoswa kutapeliwa.
 
Huyu jamaa alikuja na uzi, amekoswakoswa kutapeliwa.
Aisee. Vijana walitaka kumuingiza mjini. Me huwa nasema akili ambazo watu wanatumia kutaka kuwaibia ama kutapeli wengine wakizitumia kwenye maeneo halali wanaweza kufanikiwa sana.
 
Kula jambo lina wakati wake. Nafasi bado iko wazi na ndo maana amekutafuta.

Ukikwama mahali hasa kwenye eneo la kuandaa mpango kazi, chat me up, I will be there to help.

All the best.
much respect mkuu
 
Uaminifu ni bidhaa adimu sana zama hizi, watu wamekua sifa nyingi kemukemu ila uaminifu wamekosa.
Waaminifu wapo ila ni kazi sana kuwapata na kuwajua, tuendelee kupambana.
 
Uaminifu ni bidhaa adimu sana zama hizi, watu wamekua sifa nyingi kemukemu ila uaminifu wamekosa.
Waaminifu wapo ila ni kazi sana kuwapata na kuwajua, tuendelee kupambana.
natamani nipate mtu mmoja atakae niamini ili niwe mfano kwa wengine kwamba watu tunaona hitaji fursa na niwaaminifu na wenye chachu ya mafanikio na wenye maono ya kuwasidia vijana wengine bado tupo HAPATIKANE MMOJA TU ANIAMINI
 
This is my biggest interest. Nitafute
 
natamani nipate mtu mmoja atakae niamini ili niwe mfano kwa wengine kwamba watu tunaona hitaji fursa na niwaaminifu na wenye chachu ya mafanikio na wenye maono ya kuwasidia vijana wengine bado tupo HAPATIKANE MMOJA TU ANIAMINI
Mimi sitaki uniamini kabisa ila nakukaribisha kwa mazungumzo binafsi ukiona yafaa,nikushauri kitu
 
Umefanikiwa.? Mm pia nafanya kazi hizo, naomba connection kama umefanikiwa ili tufanye kazi pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…