umeongea fact sana mkuu unajuwa watangulizi wetu walikosea mengi sana ndo maana wanatupa wakati mgumu kuaminiwa ata sisi tulio na nia ya kweli ya kufika mbali zaidi, unajuwa nakosa maneno ya kusema ila Na waombeni mlio na nia ya dhati kuwekeza kwenye hii kazi aje tufanye kazi najua yeye ndo atakuwa shahidi yangu hapa. KARIBUNI WOTEnakushauri....uwe muaminifu....UAMINIFU ndio silaha kuu ya USHINDI.....mara nyingi vijana kama nyie mnamshauri mtu kwa maneno matamu,,, anawekeza a lot of money....then ukifanya kdg ukaweza kununua camera yako unaondoka,,,,, wakati unasahau wewe ndie ulishawishi...hapo ndio mnafanya wawekezaji wawabeze.....
ni kweli mkuu ila mimi kwenye animation siyo mtaalamu sana nilishindwa kuendelea kujifunza kutokama na changamoto za vifaa ila nina uzoefu na (adobe afterEffect, Autodesk Maya, Cinema4D, Blender) ila sijajua unataka animation za aina gani kamaitawezekana naweza kuingia kupinga msuli tufanye kaziJifunze kutengeneza video za animation tufanye kazi, ila uaminifu ndio nguzo muhimu sana katika mafanikio . Kuna kijana humu nilimuunganisha kwa rafiki yangu kwa kazi, ila alikuwa muongeaji sana, uwezo wa kazi ni sifuri...jamaa akaingia gharama kwa kumuanzishia mradi mdogo ili kumpima uaminifu; mwisho wa siku aliboronga akakimbia na hela ya boss wake.
Nitumie clip ambayo umetengenezani kweli mkuu ila mimi kwenye animation siyo mtaalamu sana nilishindwa kuendelea kujifunza kutokama na changamoto za vifaa ila nina uzoefu na (adobe afterEffect, Autodesk Maya, Cinema4D, Blender) ila sijajua unataka animation za aina gani kamaitawezekana naweza kuingia kupinga msuli tufanye kazi
kwa sasa sina project yoyote nilio wahi kuifanya ya animation maana ata nilizo kuwa nafanya ili kuwa ni kwa kujifunza tuNitumie clip ambayo umetengeneza
Kiwango cha uwekezaji nilisha kiweka ila faida na hasara huwa namuelekeza mtu inakuaje na inafanyikaje tukisha kubaliana ili ajipime mwenyewe na nimeisha fanya ivyo kwa walio nifwataUnatafuta mwekezaji bila kuainisha ni kiasi gani mwekezaji atatengeneza kila mwezi?
Unapaswa kuweka projection ya kipato kitakachopatikana, hasara zinazotarajiwa, miscellaneous costs etc. Ili huyo mwekezaji ajipime mwenyewe aone kama kuna faida au la.