Natafuta Mwalimu anayetaka kubadilisha kituo cha kazi.

Natafuta Mwalimu anayetaka kubadilisha kituo cha kazi.

mbogolo

Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
26
Reaction score
3
Mimi mwalimu wa sekondari wilayani TUNDURU natafuta "mwalimu" anayetaka kubalisha kituo cha kazi. lakini awe anatoke MOROGORO, IRINGA, MBEYA, NJOMBE au MBINGA. tuwasiliane kwa 0682136570
 
Dar hutaki nije tunduru

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hayo maelezo yanajitosheleza ndugu. hiyo Dar ningeitaja ka ningekuwa na interesti nayo.
 
Back
Top Bottom