Natafuta mwalimu mzuri wa ngumi

Tasy02

Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
35
Reaction score
16
Jamani nina shida na mwalimu mzuri wa ngumi.
Nina nia ya dhati ya kujifunza moja kati ya style zifuatazo;
- Wing Chun
- Tai Chi
- Wu Xu
Yakikosekana basi aliekuwepo ama anayejua mahala anipe habari ntashukuru sana.

[HASHTAG]#envy[/HASHTAG]
 
Hata mie nataka kujifunza hii kung Fu ila naskia ni ngumu sana sijui ni kweli au vipi
 
Kama upo dar kuna mwalimu anaitwa jumanne yupo ilala boma anafundisha taichiii
 
Nimewahi kushiriki kidogo miaka 10 iliyopita. Kwa miezi miwili tu, father alinikataza kipindi hicho nikaishia njiani.
Inabidi nikuogope sikuchokozi siku nyingine utaning'oa meno ya mbele kumbe una self defence
 
Jamani nina shida na mwalimu mzuri wa ngumi.
Nina nia ya dhati ya kujifunza moja kati ya style zifuatazo;
- Wing Chun
- Tai Chi
- Wu Xu
Yakikosekana basi aliekuwepo ama anayejua mahala anipe habari ntashukuru sana.

[HASHTAG]#envy[/HASHTAG]
Pia kuna mwalimu alikua maeneo ya moshi baa lelini alikuwa ni babu.alikua vizuri sana kwa kungfuu cjawai ona ila amefariki
 
Inabidi nikuogope sikuchokozi siku nyingine utaning'oa meno ya mbele kumbe una self defence
Cjawai ona mtu anae ujua mchezo akimpiga mtu.maana huwa ni waoga.na maanisha wanaogopa kuingia matatizoni mfano kuuwa unajua ngumi ni mchezo hivyo basi kupigana kwa mpiganaji ni burudani but kwa anae pigwa ni maumivu.wakati ukipiga mapigo mpigaji huburudika na wakati mwingine ujihisi utumii nguvu kumbe kila pigo ambalo kwako ni la kawaida kwa yule unaempiga lina ingia kisawasawa na kuacha madhara ambayo uwenda yakapelekea kifo
 
Jamani nina shida na mwalimu mzuri wa ngumi.
Nina nia ya dhati ya kujifunza moja kati ya style zifuatazo;
- Wing Chun
- Tai Chi
- Wu Xu
Yakikosekana basi aliekuwepo ama anayejua mahala anipe habari ntashukuru sana.

[HASHTAG]#envy[/HASHTAG]
Kwamlioko mwanza muoneni huyu dogo atawasaidia kukidhi haja zenu ,Nimwalimu mzuri sana wa karate Igombe nzima hana mpinzani 0762542474
 
Hata mie nataka kujifunza hii kung Fu ila naskia ni ngumu sana sijui ni kweli au vipi
Wewe viungo vimeshakaza hiyo kitu itakusumbua. Wanaanzia utotoni. ""Au kuna mtu unataka umfanyie mazoezii""(joking)
 
Jamani nina shida na mwalimu mzuri wa ngumi.
Nina nia ya dhati ya kujifunza moja kati ya style zifuatazo;
- Wing Chun
- Tai Chi
- Wu Xu
Yakikosekana basi aliekuwepo ama anayejua mahala anipe habari ntashukuru sana.

[HASHTAG]#envy[/HASHTAG]
Kama upo tayari kujifunza boxing ,nitafute nikusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…