Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kama utahitaji kujifunza boxing nitafute.Pia watusaidie na gharama nami natamani sana kujifunza hivyo vitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama utahitaji kujifunza boxing nitafute.Pia watusaidie na gharama nami natamani sana kujifunza hivyo vitu
Hapo umetaja sehemu mbili tofauti,Moshi bar na relini.Pia kuna mwalimu alikua maeneo ya moshi baa lelini alikuwa ni babu.alikua vizuri sana kwa kungfuu cjawai ona ila amefariki
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hata mie nataka kujifunza hii kung Fu ila naskia ni ngumu sana sijui ni kweli au vipi
Hivi mkuu GGG wewe ni Me au Ke?Kwenye michezo hiyo "mateso" ndio rafiki yako...
Ukilitambua hilo, utafanikiwa!
Jamani nina shida na mwalimu mzuri wa ngumi.
Nina nia ya dhati ya kujifunza moja kati ya style zifuatazo;
- Wing Chun
- Tai Chi
- Wu Xu
Yakikosekana basi aliekuwepo ama anayejua mahala anipe habari ntashukuru sana.
[HASHTAG]#envy[/HASHTAG]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] toa msaada bus mzeeTai chi nilipiga 2013 kitambo sana. Najua style nyingi sana za mapigano.
Panga gali za mombasa shuka kituo kinaitwa reliniHapo umetaja sehemu mbili tofauti,Moshi bar na relini.
ME.Hivi mkuu GGG wewe ni Me au Ke?
Nilichokuuliza sicho ulichokijibu.Panga gali za mombasa shuka kituo kinaitwa relini
Tatizo avatar mkuu.ME.
Hata mwandiko na vitu nivipendavyo huoni mkuu?
asije kuwa kama Mastet Lingo.Kwamlioko mwanza muoneni huyu dogo atawasaidia kukidhi haja zenu ,Nimwalimu mzuri sana wa karate Igombe nzima hana mpinzani 0762542474
Nipe moyo halafu uondoke na meno yangu ya mbeleHapana hatutakiwi kuogopana. Na unaweza kunichokoza kivyovyote nisireact, sina hasira.
Sawa sawa boss unaonekana unatengua sana sura za watu kwa ngumi kuntu.Kama utahitaji kujifunza boxing nitafute.
mimi niko tayari mkuu...naomba unisaidieKama upo tayari kujifunza boxing ,nitafute nikusaidie.
Unapatikana wapi mkuuKama upo tayari kujifunza boxing ,nitafute nikusaidie.