Natafuta mwalimu mzuri wa ngumi

Natafuta mwalimu mzuri wa ngumi

Jamani nina shida na mwalimu mzuri wa ngumi.
Nina nia ya dhati ya kujifunza moja kati ya style zifuatazo;
- Wing Chun
- Tai Chi
- Wu Xu
Yakikosekana basi aliekuwepo ama anayejua mahala anipe habari ntashukuru sana.

[HASHTAG]#envy[/HASHTAG]

Tai chi nilipiga 2013 kitambo sana. Najua style nyingi sana za mapigano.
 
Tai chi? Yupo Ila cjajua kama hayupo busy na mambo mengine na hata akiwa busy atakukabidhi kwa wachina..ntakupa jina kisha utafanya nae mawasiliano mwenyewe ni pm.
 
Back
Top Bottom