Niko Dar. Wapi wewe
Mimi ni mstaarabu sana mkuu.Sawa sawa boss unaonekana unatengua sana sura za watu kwa ngumi kuntu.
Poa tutapangamimi niko tayari mkuu...naomba unisaidie
Nipo dar.Unapatikana wapi mkuu
Dar.Unapatikana wapi
huyu master jumanne wa ilala ni hatari sana back in early 2000 he was teaching my brother.Kama upo dar kuna mwalimu anaitwa jumanne yupo ilala boma anafundisha taichiii
Sasa kama kafariki sisi wa nini?Pia kuna mwalimu alikua maeneo ya moshi baa lelini alikuwa ni babu.alikua vizuri sana kwa kungfuu cjawai ona ila amefariki
Kivip mkuu?????asije kuwa kama Mastet Lingo.
master lingo anafundisha kung fu kumbe miyeyusho swaga nyingi ngumi haweziKivip mkuu?????