Natafuta mwalimu wa dance(kucheza muziki)

Hahaha Mtundu Kisu kwaito ukiwa hujui ukacheza next to me lazma nikukoe konzi! Na saa hiyo nna viatu vireefu kama shetani, ukinigusa tu si nitaanguka! Kha! Pole sana. Sasa twisheni inabidi tupange, ila hujasema unataka miziki gani.
 
Heh! Kwani ww hujui kucheza mziki?
Ngoja nianzishe dance class, ila ijumaa tunaingia towen ku-practice kwa gharama zenu (starting with diner teh)
Zile nadhani tuziweke kwenye kundi la Bolingo au Dansi.. Na mimi nakaribishwa kujifunza King'asti?
 
shule imefunga baada ya kuwaza utafute twisheni angalau utoke kwenye top ten ya mkiani wewe unatafuta twisheni ya kucheza mziki??

Halafu ni nani huwa anakuruhusu kwenda disco wakati wewe ni under 18.
 
Hahaha Mtundu Kisu kwaito ukiwa hujui ukacheza next to me lazma nikukoe konzi! Na saa hiyo nna viatu vireefu kama shetani, ukinigusa tu si nitaanguka! Kha! Pole sana. Sasa twisheni inabidi tupange, ila hujasema unataka miziki gani.

Miziki yote unayojua KINGAst
 
Last edited by a moderator:
shule imefunga baada ya kuwaza utafute twisheni angalau utoke kwenye top ten ya mkiani wewe unatafuta twisheni ya kucheza mziki??

Halafu ni nani huwa anakuruhusu kwenda disco wakati wewe ni under 18.

Wewe nani kakwambia mimi ni mtoto wa shule?Ungejua mi ni kijana wa umri gani usingesema ulichosema..i could even be older than you are!
 
Unataka ujue kucheza Mabreka? Rege? Kwaito? Bachata? Rock? Merengue? Chakacha? Reaggeton? Charanga? Bolingo? Hip hop? Taarabu? Salsa? Au staili gani hasa.. Hebu kuwa specific. Pia natoa mafunzo free of charge kwa wadada wa rika zote, sibagui..

twist.
 
Bishanga ndo mwalimu wa dansi humu jaribu kumtafuta.
 
Unataka ujue kucheza Mabreka? Rege? Kwaito? Bachata? Rock? Merengue? Chakacha? Reaggeton? Charanga? Bolingo? Hip hop? Taarabu? Salsa? Au staili gani hasa.. Hebu kuwa specific. Pia natoa mafunzo free of charge kwa wadada wa rika zote, sibagui..

nimekuwa nikitafuta mwalimu wa bluzi muda mrefu sasa....nashukuru kukupata mwalimu.....tunaanza lini darasa....?
 
..wewe ni mcheza show ...?
Mi sifundishii hela Bana, hebu nenda pale THT wanaweza kukupa mwongozo. Manake wana matrainer pale unaweza chonga nao kwa program binafsi..
....sasa wewe kituo chako kiko wapi
nimekuwa nikitafuta mwalimu wa bluzi muda mrefu sasa....nashukuru kukupata mwalimu.....tunaanza lini darasa....?
...hapa presha ishaanza kupanda na jumatatu hii...
 
..wewe ni mcheza show ...?

....sasa wewe kituo chako kiko wapi

...hapa presha ishaanza kupanda na jumatatu hii...

baby si dansi tu....sijui kucheza bluzi ujue.....
 
Jamani mnajua hii ishu ni siriaz afu hadi saivi hajitokezi mtu?
 
Mi nakushauri ujifunze mwenyewe ukiwa peke yako chumbani. Nunua cds zako za aina ya mziki upendao then fatiza vile they dance.
 
Angalia video za mzk ambzo wana dance
tafuta step up 1 up to 3 angalia
chek ata youtube pia.
kwaito ukienda club tu utazijua step chache.
Kma una aibu pga mambo utapata mizuka ya kudance ukiwa viwanja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…