Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile nadhani tuziweke kwenye kundi la Bolingo au Dansi.. Na mimi nakaribishwa kujifunza King'asti?
Kumbe K na wewe mtaalamu wa hii makitu!
Mie naomba unifundishe Baikoko, hebu nipe kuhusu utaratibu.
Jamani nimekuwa niko nyuma sana na inaniuma sana ninapokuwa club na kwny sherehe halafu washikaji rika langu wanacheza vizuri wakati mimi najifaragua tu..
Sasa nimechoka kuwa left out na kufeel out of place.So,nahitaji mwalimu wa kuninoa..ama sehemu wanayofundisha kucheza muziki jijini Dar. Masomo yataanza as soon as practcally possible.Ada ya mafunzo iwe reasonable.
Hahaha Mtundu Kisu kwaito ukiwa hujui ukacheza next to me lazma nikukoe konzi! Na saa hiyo nna viatu vireefu kama shetani, ukinigusa tu si nitaanguka! Kha! Pole sana. Sasa twisheni inabidi tupange, ila hujasema unataka miziki gani.
shule imefunga baada ya kuwaza utafute twisheni angalau utoke kwenye top ten ya mkiani wewe unatafuta twisheni ya kucheza mziki??
Halafu ni nani huwa anakuruhusu kwenda disco wakati wewe ni under 18.
Unataka ujue kucheza Mabreka? Rege? Kwaito? Bachata? Rock? Merengue? Chakacha? Reaggeton? Charanga? Bolingo? Hip hop? Taarabu? Salsa? Au staili gani hasa.. Hebu kuwa specific. Pia natoa mafunzo free of charge kwa wadada wa rika zote, sibagui..
Unataka ujue kucheza Mabreka? Rege? Kwaito? Bachata? Rock? Merengue? Chakacha? Reaggeton? Charanga? Bolingo? Hip hop? Taarabu? Salsa? Au staili gani hasa.. Hebu kuwa specific. Pia natoa mafunzo free of charge kwa wadada wa rika zote, sibagui..
..wewe ni mcheza show ...?Unataka ujue kucheza Mabreka? Rege? Kwaito? Bachata? Rock? Merengue? Chakacha? Reaggeton? Charanga? Bolingo? Hip hop? Taarabu? Salsa? Au staili gani hasa.. Hebu kuwa specific. Pia natoa mafunzo free of charge kwa wadada wa rika zote, sibagui..
....sasa wewe kituo chako kiko wapiMi sifundishii hela Bana, hebu nenda pale THT wanaweza kukupa mwongozo. Manake wana matrainer pale unaweza chonga nao kwa program binafsi..
...hapa presha ishaanza kupanda na jumatatu hii...nimekuwa nikitafuta mwalimu wa bluzi muda mrefu sasa....nashukuru kukupata mwalimu.....tunaanza lini darasa....?
..wewe ni mcheza show ...?
....sasa wewe kituo chako kiko wapi
...hapa presha ishaanza kupanda na jumatatu hii...
...distance ya Bluzi ndio tatizo..baby si dansi tu....sijui kucheza bluzi ujue.....
...distance ya Bluzi ndio tatizo..
...mie huku BP ishapanda...(hapo katika bold)nitamwambia anishike taratibu....asinibinye.....