natafuta mwalimu wa economics

natafuta mwalimu wa economics

Barhearty

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
319
Reaction score
29
mambo wanajamvi. Natafuta mtu yeyote anaejua uchumi wa kujitolea. Anfundishe kwa miez 2 tu
 
No free lunch under the sun,sema una sh ngapi tuongee biashara.
 
ukishajua definition ya economics wala hutataka kufundishwa bure kama unavyotaka... ni PM
 
ukishajua definition ya economics wala hutataka kufundishwa bure kama unavyotaka... ni PM

ha ha ha,naona wadau tumeamua kumpa jamaa za uso hadi kakimbia!
 
Kama upo Morogoro niPM!
"Economics deals with how people use their limited resources to satisfy their unlimited wants"
mambo wanajamvi. Natafuta mtu yeyote anaejua uchumi wa kujitolea. Anfundishe kwa miez 2 tu
 
ha ha ha,naona wadau tumeamua kumpa jamaa za uso hadi kakimbia!

[huyu jamaa ni mmwelewa angekuja kipindi cha kwanza tu ningeanza na kipengele hiki characteristics of free resource]
 
Back
Top Bottom