Mousso drawing
Member
- Jun 6, 2019
- 49
- 24
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka19 natafuta mwarimu wa kuchora kwa kutumia penser na langi
Michoro ya aina yote
Michoro ya aina yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi vijana wa sikuhizi..huko shuleni mlienda kujifunza ujinga..yani umeandika utumbo hujui matumizi ya r wala l...kajipange ndio urudi.Sawa bro
Ulikua ni typing error bhana bro co nikimba shuleHivi vijana wa sikuhizi..huko shuleni mlienda kujifunza ujinga..yani umeandika utumbo hujui matumizi ya r wala l...kajipange ndio urudi.