Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
Nawasalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta mwalimu mzuri aliyebobea katika ufundishaji kwaajili ya kumfundisha mwanangu ambaye mwakani anatarajia kuendelea darada la tano maana amemaliza kufanya Necta juzi tu hapa.
Kwa sasa dogo yupo tu nyumbani anacheki tu muvi na vikatuni + Kulfi. Hivyo basi nahitaji mwalimibwa kumkeep busy walau hata masaa matano.
Shida kubwa mtoto ni Hesabu.
Mahitaji yangu ni afundishwe kwa miezi hii miwili na wiki kadhaa mpaka pale matokeo ya darasa la nne yatakapotoka.
LOCATION:
Napatikana Dar es Salaam, Temeke.
LUGHA:
Mahitaji awe mwalimu anayejua kuzungumza kiingereza kwa ufasaha maana dogo tangu anaanza chekechea mpaka sasa anasoma English Medium tu.
MASOMO:
Mathematics, Civics and Moral Education, Vocational Skills, Social Studies, Science and Technology
MALIPO:
Kuhusu malipo karibuni PM.
Asanteni