Natafuta Mwalimu wa kumfundisha Mwanangu anayetarajia kuingia darasa la tano mwakani

Maeelekezo ni kwamba mwalimu anayetakiwa awe anajua kiingereza vizuri. Sasa naona wewe tayari umeshakosa sifa....

Au nasema uongo ndugu zangu
Mkubwa Aspirin lugha ni tatizo Kwa sisi walilimu wa kibongo lengo lako ni zuri sana ila Kwa tution unatakiwa upate mwalimu wa mathematics and English hayo masomo mawili ndo Yana maana Ili usimpe mzigo sana mtoto na Kwa kuwa anaesoma English medium unaweza ukatafuta mwalimu wa hesabu tu
 
Sawa mkuu ndugu yangu...
 
Jamaa kamwaga kimombo feki. Kisa mwajiri anataka mtu awe anajua kimombo akataka amwonyeshe umahiri wake
Jamaa anataka amwonyeshe umahiri wa lugha boss. Kumbe ndio anajiharibia... Nimecheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa anataka amwonyeshe umahiri wa lugha boss. Kumbe ndio anajiharibia... Nimecheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzuri boss hana tabu, kamwambia amfuate PM wayajenge...

Ila nadhani hawakufikia muafaka maana naona boss bado anatafuta...
 
Maeelekezo ni kwamba mwalimu anayetakiwa awe anajua kiingereza vizuri. Sasa naona wewe tayari umeshakosa sifa....

Au nasema uongo ndugu zangu
Kwakweli.... 'What's will' is grammatically incorrect.
 
Hizo ndio shughuli zangu mwaka wa 10 huu. Yaani sio tu napenda kufundisha watoto bali nawapenda sana na kwa sasa nipo kwenye harakati za kujichanga changa nifanye jambo kuu kwa ajili ya watoto hasa wakitanzania. Kwa jambo lako hili changamoto hapo ni umbali. Malipo ni kulingana na mzazi unavyoona ubora wa huduma itolewayo. Hakuna haja ya Kenya wala nini humu humu tupo tumejaa tele. Fluent and frequent English. Mathematics ndio kabisaa. Nchi kubwa sana hii.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…