Natafuta mwalimu wa piko za kizanzibar

Natafuta mwalimu wa piko za kizanzibar

JAMBONIA 2

Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
45
Reaction score
11
Habarini, wadau kama upo au unamfahamu mwalimu mzuri wa kupamba mabiharusi na kuchora zile piko nzuri za kizanzibari... nielekeze au nipe contact pm.
Natanguliza shukran
 
Astashahada
Stashahada
Shahada
Ufafanuzi please
 
hapana locally tu kupata ujuzi wa kivitendo na wala si lazima kwa cheti
 
Back
Top Bottom