Natafuta mwalimu wa tally 9 aconting package

Natafuta mwalimu wa tally 9 aconting package

Edylux

Member
Joined
Mar 30, 2009
Posts
48
Reaction score
9
Salaams,

Naomba/natafuta mwalimu wa Tally 09 Accounting package, wa kunifundisha privately hapa Dar es Salaam.

Naombeni contact; simu au email.

Ahsanteni sana.

Edylux
 
Kwa lisaa limoja $100,uko tayari 2ingie kazini?
 
Ahsante sana Husninyo.

Simu ya Aizaki haipokelewi. Unaweza kuniambia anapopatikana ili nimfuate?

Natanguliza shukran tele.

Edylux
 
Ahsante sana Husninyo.

Simu ya Aizaki haipokelewi. Unaweza kuniambia anapopatikana ili nimfuate?

Natanguliza shukran tele.

Edylux

yupo posta, jaribu kumpigia tena maana hata nikikuelekeza utaendaje bila taarifa?
 
Mbona ziko sehemu kibao tu hapo dar? Kama sh 175000/= kwa beginners
 
Back
Top Bottom