Natafuta Mwalimu wa Twisheni - Primary just for 1Month

Natafuta Mwalimu wa Twisheni - Primary just for 1Month

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Wadau,
Natafuta Mwalimu wa kufundisha twisheni kwa mwezi mmoja tu!!
Masomo ni Hisabati na English,
Darasa la Sita, La Nne na La Kwanza,
Malipo ni Tshs Laki 4 kwa kipindi chote cha huo mwezi mmoja, (laki 1 kwa wiki)
Vigezo;
Awe wa kike,
Awe ana uwezo wa kuelezea na kueleweka kwa wanafunzi wake,
Ajue kumsoma mwanafunzi na kugundua udhaifu wake,
Awe anazingatia ratiba,
Otherwise mambo mengine PM inatosha
 
uko mkoa gani/wapi?
 
Back
Top Bottom