Natafuta mwanadada kwa mahusiano ya ndoa

Natafuta mwanadada kwa mahusiano ya ndoa

Yieen

Senior Member
Joined
May 8, 2012
Posts
103
Reaction score
27
Habari zenu wana jukwaa hili la mapatano;

Nimekuja kwenye jukwà hili niweze kumtafuta Mwanadada anae jiheshimu, msafi na yupo tiar kwa mahusiano ya ndoa kwa "baadae kidogo tu"
Nina miaka 31 na sasa ivi ninaishi dsm kikazi i kwa aliye tiar tu naomba tuwasiliane.

"Pleaae awe humble and respectful "
 
Back
Top Bottom