Natafuta Mwanamama wa kushirikiana nae kwenye biashara ya Chakula (Mama Ntilie)

Biashara ya mama tilie ni yawakina mama watalaka wajane na singo maza, mwana umme kua na mawazo ya kuanzisha mama tilie tunakutilia mashaka kama wanabaharia....ungesema unatafuta mpishi wa mgahawa wako restaurant au fast food centre ungeeleweka ila hapo hapana wababaharia unawagusha mkuu
 

Sawa Baharia mkuu.
 
Mkuu kwenye swala la experience ndo umefeli we ita yoyote mwenye uhitaji na anaweza hii kazi, nadhani itasaidia wengi hasa graduates
 
Asanteni wote mnaoendelea kutuma meseji kama mlivyoelekezwa.
 
Baharia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: hbi

Hapa naona wewe unatafuta MPISHI. Unashirikiana vipi n amtu wakati wewe unalipa kila gharama yeye kazi yake kupika tu? Weka wazi proposal yako, yeye utampa asilimia ngapi ya mapato...That's it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…