James Mwidoro
Member
- Aug 22, 2016
- 71
- 93
Kwanza Mkuu James Mwindoro ungetoa kabisa na time limit lakini kusema tu atakayekuwa .ke wako hapo mbeleni unawachanganya walioko serious. Wewe mwenyewe hauko serious. Sema nataka mtu wa kuoa ndani ya miezi sita au mwaka mmoja. Waliko serious wana time frame na mipango ya kueleweka. Hapa tunao wasichana wazuri tu na wako serious watajitokeza.Habari wanajamii wenzangu, nimeona leo nami kuweka hitaji langu kwenye forum.
Mimi ni mtanzania mkristo umri 33 na kwasasa nipo mkoa was tabora najitokeza kutafuta mwanamke ambaye mbeleni atakuja kuwa mke na mama watoto wangu, sina ubaguzi wa dini wala rangi lakini umri ningependelea angalau awe miaka 30 kurudi chini.
Kwa yule aliyeserious tuwasiliane DM.
Ahsante
Fb nahisi ndio masihara mengiKwa bahati mbaya jf hakuna aliyeko serious mkuu labda ujaribu fb
Ahsan kwa marekebisho mkuu , kusema mbeleni nadhani bado inaeleweka kwasababu angalai mpaye walahu miezi mitatu hadi sita ya kutambua vema, ofcoz nisongekiwa serious pia ninhesema natafita msichana wa kutoka nae bit am more than thatKwanza Mkuu James Mwindoro ungetoa kabisa na time limit lakini kusema tu atakayekuwa .ke wako hapo mbeleni unawachanganya walioko serious. Wewe mwenyewe hauko serious. Sema nataka mtu wa kuoa ndani ya miezi sita au mwaka mmoja. Waliko serious wana time frame na mipango ya kueleweka. Hapa tunao wasichana wazuri tu na wako serious watajitokeza.
Asante.
GoodAhsan kwa marekebisho mkuu , kusema mbeleni nadhani bado inaeleweka kwasababu angalai mpaye walahu miezi mitatu hadi sita ya kutambua vema, ofcoz nisongekiwa serious pia ninhesema natafita msichana wa kutoka nae bit am more than that