Natafuta mwanamke aliyeko Mwanza

Natafuta mwanamke aliyeko Mwanza

halo. natafuta demu awe anaishi mwanza... umri over 30 mnene au mwembamba safi.
nayeye awe anijiweza. sio kwa ajili ya kunitunza bali nimechoka na under 30 wananyonya hela hao kama anopheles mosquito.
nk mwanza natafuta mume mwenye over 30 bt kigezo chako cha umri kimeniweka kando all the best
 
Back
Top Bottom