Natafuta mwanamke aliyetulia na mwenye maisha

Natafuta mwanamke aliyetulia na mwenye maisha

a30ba7b27dd7a4c9d7f73d0c26cd07c7.jpg
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Ni mda sasa natamani kuwa na mtu ila sipati bahati kukutana na mwanamke ambaye ana vigezo nnavyovitaka.
maana kila nikikutana na demu ni vibomu tu kama vya nyuklia.
ninafanya kazi na nimepanga, natamani nipate mdada wa umri kuanzia 26 mpaka hata 40. awe na kazi na ametulia. nimechoka kuwa single.
Kiufupi hao unaotaka waliotulia na ambao si mabomu hawapo tena!Cha msingi ili usipate matatizo ya presha bure yeyote utakayempata elewa kwamba ni kicheche.Hiyo itakusaidia.Ninakwambia hivyo kwa sababu ya yaliyonikuta!!
 
Back
Top Bottom