Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

Mithali 23:29-35
29 Ni nani apigaye, Yowe? Ni nani aliaye, Ole? Ni nani mwenye ugomvi? Ni nani mwenye mguno? Ni nani aliye na jeraha zisizo na sababu? Ni nani aliye na macho mekundu?

30 Ni wale wakaao sana kwenye mvinyo; Waendao kutafuta divai iliyochanganyika.

31 Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu; Iitiapo bilauri rangi yake, ishukapo taratibu;

32 Mwisho wake huuma kama nyoka; Huchoma kama fira.

33 Macho yako yataona mambo mageni; Na moyo wako utatoa yaliyopotoka.

34 Naam, utakuwa kama alalaye katikati ya bahari; Au kama yeye asinziaye juu ya mlingoti.

35 Utasema, Wamenichapa wala sikuumia; Wamenipiga wala sina habari; Nitaamka lini, nitazidi kuitafuta tena.

Waefeso 5:18-21
18 Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;

19 mkisemezana kwa zaburi na tenzi na nyimbo za rohoni, huku mkiimba na kumshangilia Bwana mioyoni mwenu;

20 na kumshukuru Mungu Baba sikuzote kwa mambo yote, katika jina lake Bwana wetu Yesu Kristo;

21 hali mnanyenyekeana katika kicho cha Kristo.
 
Mleta mada nakushauri pia ukiweka tangazo lako wawekee WAJIHI wako. Utaokota Demu MREFU KAMA MWAIKIMBA wakati wewe unafanana na DENIS NKANE.

[emoji2][emoji2][emoji2]
 

You sound like a woman who is God fearing! Congratulations.

Naamini ukimpata mume anayempenda Yesu ( a husband who is mlokole) atakufaa sana.

Mimi ambaye nimeshaonja utamu wa kilevi kinachovutia kwenye glass ni ngumu kidogo kuukwepa mtego huu wa shetani ( alcohol)
 
Kama nakunywa pombe lakini silewi na mimi nahesabika mlevi au nije tu?

Wewe sio chapombe na wala sio mlevi, hivyo basi utakuwa supporter mzuri sana kwenye kusindikiza weekend na pia utakuwa na uwezo wa kutimiza majukumu yako kama mke.
Karibu sana 👏🏼
 
Garasa au mwanamke wa maana, kuna wachagga, wapare na wazaramu hapa Tanzania wakisindikizwa na ndugu zao wanyaturu, warangi, wasiojuwa kukataa wanaume.....shauri yako, we tangaza tu utakuja kujikuta unatafutwa na jinamizi la talaka.
 
Si kweli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ninae tunafurahiana sana
 
Si kweli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Kwanini unasema maelezo yangu hapo juu sio kweli? Unaweza kwenda mbele kidogo kwa kuelezea ukweli ili niweze kujua uhalisia...na pia watu wajue huo ukweli.

Karibu Madam tuyajenge kwa muktadha wa kuwa na familia bora na sio bora familia
 
Mke Mwema anatoka kwa bwana.
Subiri walioachika.
 
basi wanaume mtambue single mama wako tabaka tofauti japo wengi washakalili, mfano kuna kabila X kukuta mwanamke ana mtoto 1 nje ni lazima kwa sababu wawapo usichanani uozeshwa kwa wanaume wasio chaguo la mioyo yao bali wingi wa mahari kwa wazazi mwisho kuishi kuitwa single Mother kama hizi ,,,,kwangu nikionaga topic hizi zinahusiana na u single maza huwa au bc[emoji17][emoji17][emoji17]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Miaka 35 asiwe Singo Maza?
Huyu siyo Mtanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…