luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Ahaaaa ni kunogesha kijiwe tu hapa hapaWa mtandaoni ndo hawa wa mtaani ,kama umevutiwa we jitose tu Dada angu[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaaa ni kunogesha kijiwe tu hapa hapaWa mtandaoni ndo hawa wa mtaani ,kama umevutiwa we jitose tu Dada angu[emoji23]
Huna hela*Kichwa cha habari chahusika.
Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa kuwa na mwanaume kwa malengo ya ndoa na kujenga familia bora.
Sifa za huyo mwanamke :
1. Awe mwenye hofu ya Mungu
2. Awe KABILA LOLOTE LILE
3. Umri kuanzia miaka 22 - 35
4. Asiwe single maza
5. Elimu yake iwe kuanzia form iv
6. Awe mwajiriwa au amejiari / mjaririamali
7 . Awe tayari kupima HIV
8. Asiwe mlevi / chapombe
Sifa zangu.
1. Nina hofu ya Mungu
2. Umri miaka 36
3. Elimu ya chuo kikuu
4. Nina kibarua kinaniweka mjini
5.Sio mlevi but sometimes nakunywa
6. Nipo tayari kupima HIV 24/7
Kwa mwenye sifa karibu tuyajenge.
ASANTENI NA KARIBUNI SANA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huna hela*