Natafuta mwanamke awe muislam na mcha mungu

Kwekitui

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Posts
1,070
Reaction score
1,083
Assalamu’alaikum warahmatullahi wabarakatuh

Ewe dada ndugu yangu fursa hii

Ni wakati murua sasa kwa mimi kijana wa kiume kuingia kwenye ibada ya kukamilisha ½ ya dini yetu ya kiislam.

Dada kama wewe ni mcha Mungu tafadhali njoo kwa mcha Mungu mwenzako tuyajenge na hatimaye tuishi kama mke na mume kwa misingi ya dini yetu tukufu..

SIFA
Muislam swala 05 aliyesoma Qur'an tukufu wa ki sunnah atapewa kipaombele

Ama pia mweupe mwarab/Mbongo

Mimi ni kijana miaka 30 kwa sasa na ni ninafanya kazi kwenye kampuni fulani hapa DSM

Nakukaribisha inbox
 
Sasa mkuu mchamungu utampata humu mitandaoni?
Mchamungu hata mitaani huwa hawaonekani Hadi mwenyezi mungu mwenyewe aamue kukuonesha.
Na mchamungu huwa hatumii njia yako hiyo kutafuta mke otherwise utakuwa muigizaji tu na sio mchamungu.
Angalau kidogo ungeenda kuongea na mashehe msikitini ungekuwa sahihi.
Halafu swali langu Mimi ni moja tu kwako,je utamjuaje Kama mtu ni mchamungu?
 
Mbona pm iko private?
 
Mkuu wanajulikana mbona hata kwa salam tu
 
Sasa mkuu mchamungu utampata humu mitandaoni?
Mchamungu hata mitaani huwa hawaonekani Hadi mwenyezi mungu mwenyewe aamue kukuonesha.
Na mchamungu huwa hatumii njia yako hiyo kutafuta mke otherwise utakuwa muigizaji tu na sio mchamungu.
Angalau kidogo ungeenda kuongea na mashehe msikitini ungekuwa sahihi.
Halafu swali langu Mimi ni moja tu kwako,je utamjuaje Kama mtu ni mchamungu?
NAKAZIA NATI HAPA [emoji123]
 
Wanawake wacha mungu waache kufanya ibada,wapate muda wa kusoma bandiko lako?..........wanaokufaa wewe ni wavaa masweta yenye nembo ya Tanzania,"waliokomaa kisawasawa"

Back
Top Bottom