Natafuta mwanamke awe muislam na mcha mungu

Natafuta mwanamke awe muislam na mcha mungu

Assalamu’alaikum warahmatullahi wabarakatuh

Ewe dada ndugu yangu fursa hii

Ni wakati murua sasa kwa mimi kijana wa kiume kuingia kwenye ibada ya kukamilisha ½ ya dini yetu ya kiislam.

Dada kama wewe ni mcha Mungu tafadhali njoo kwa mcha Mungu mwenzako tuyajenge na hatimaye tuishi kama mke na mume kwa misingi ya dini yetu tukufu..

SIFA
Muislam swala 05 aliyesoma Qur'an tukufu wa ki sunnah atapewa kipaombele

Ama pia mweupe mwarab/Mbongo

Mimi ni kijana miaka 30 kwa sasa na ni ninafanya kazi kwenye kampuni fulani hapa DSM

Nakukaribisha inbox
Vipi shehe wangu umeshapata
 
Mungu akufanyie wepesi. Kama haujapata si vibaya ukamuuliza Mwifwa alitumia njia ipi.
 
Ila sidhani kama Mwifwa atajibu maana ndoa ikiwa mbichi nayo mtoto hata ina michoro ya mikono na miguu bado hazijafutika. Kila ukimuangalia mke yale uliyokuwa unayasikia unataka uyafanye, mara umkumbatie mara umbusu mara unaitwa mume wangu unajisikia murua kabisa.

Ukiangalia ametoka kumaliza 7 zake. Yaani hapo ni mwendo wa kutikisa nyavu mnooo.
 
Ushapata mke au bado ??? Kama bado nikupelekee sehemu nikuunganishe kuna mke mzuri ana kila sifa then zeo km.
 
Mkuu.napenda kukushauri tu,kabla ya kuchkua maamuzi ya kufunga ndoa,sali salaa ya ISTIKHAAR,umuombe ALLAH akujaalie mke mwenye khery na wewe.
Naimani ndani ya wiki moja tu,utakuwa umeshapata majibu
 
Back
Top Bottom