Mbona pm iko private?Assalamu’alaikum warahmatullahi wabarakatuh
Ewe dada ndugu yangu fursa hii
Ni wakati murua sasa kwa mimi kijana wa kiume kuingia kwenye ibada ya kukamilisha ½ ya dini yetu ya kiislam.
Dada kama wewe ni mcha Mungu tafadhali njoo kwa mcha Mungu mwenzako tuyajenge na hatimaye tuishi kama mke na mume kwa misingi ya dini yetu tukufu..
SIFA
Muislam swala 05 aliyesoma Qur'an tukufu wa ki sunnah atapewa kipaombele
Ama pia mweupe mwarab/Mbongo
Mimi ni kijana miaka 30 kwa sasa na ni ninafanya kazi kwenye kampuni fulani hapa DSM
Nakukaribisha inbox
Imi ma sio msiamu kangiNaakughoja kangi
Mkuu wanajulikana mbona hata kwa salam tuSasa mkuu mchamungu utampata humu mitandaoni?
Mchamungu hata mitaani huwa hawaonekani Hadi mwenyezi mungu mwenyewe aamue kukuonesha.
Na mchamungu huwa hatumii njia yako hiyo kutafuta mke otherwise utakuwa muigizaji tu na sio mchamungu.
Angalau kidogo ungeenda kuongea na mashehe msikitini ungekuwa sahihi.
Halafu swali langu Mimi ni moja tu kwako,je utamjuaje Kama mtu ni mchamungu?
Duh mimi muislamu ila kwenye swala uwe tayari kunihimiza kuswali
NAKAZIA NATI HAPA [emoji123]Sasa mkuu mchamungu utampata humu mitandaoni?
Mchamungu hata mitaani huwa hawaonekani Hadi mwenyezi mungu mwenyewe aamue kukuonesha.
Na mchamungu huwa hatumii njia yako hiyo kutafuta mke otherwise utakuwa muigizaji tu na sio mchamungu.
Angalau kidogo ungeenda kuongea na mashehe msikitini ungekuwa sahihi.
Halafu swali langu Mimi ni moja tu kwako,je utamjuaje Kama mtu ni mchamungu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Issue kukufikia huko Preventive Maintenance (PM)
Fursa hiyoo dada au ulishapata?Duh mimi muislamu ila kwenye swala uwe tayari kunihimiza kuswali
Assalamu’alaikum warahmatullahi wabarakatuh