Natafuta mwanamke awe muislam na mcha mungu

Vipi shehe wangu umeshapata
 
Mungu akufanyie wepesi. Kama haujapata si vibaya ukamuuliza Mwifwa alitumia njia ipi.
 
Ila sidhani kama Mwifwa atajibu maana ndoa ikiwa mbichi nayo mtoto hata ina michoro ya mikono na miguu bado hazijafutika. Kila ukimuangalia mke yale uliyokuwa unayasikia unataka uyafanye, mara umkumbatie mara umbusu mara unaitwa mume wangu unajisikia murua kabisa.

Ukiangalia ametoka kumaliza 7 zake. Yaani hapo ni mwendo wa kutikisa nyavu mnooo.
 
Ushapata mke au bado ??? Kama bado nikupelekee sehemu nikuunganishe kuna mke mzuri ana kila sifa then zeo km.
 
Mkuu.napenda kukushauri tu,kabla ya kuchkua maamuzi ya kufunga ndoa,sali salaa ya ISTIKHAAR,umuombe ALLAH akujaalie mke mwenye khery na wewe.
Naimani ndani ya wiki moja tu,utakuwa umeshapata majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…