Natafuta Mwanamke kwa ajili ya kudate-Dodoma

Natafuta Mwanamke kwa ajili ya kudate-Dodoma

Manifesto

Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
13
Reaction score
2
Natafuta mwanamke wa ku date naye, mimi nafanya kazi Dodoma na ni mkazi wa Dodoma. Kwa taarifa zaidi ni PM.

Umri uwe kuanzia miaka 25 - 30

Thanx,

Kind regards,

Manifesto 2015
 
Heee si usogee hapa kwenye madarasa makubwa wapo wa kuchagua au umejaza maji mdomoni
 
Kudate ndo kupanga tarehe?
 
Tafuta mke uoe acha kuitangaza ngono hadharani, hyo ni zambi ya kujiyangaza ambayo ni mbaya zaidi kuliko dhabi ya kimya kimya
 
Back
Top Bottom