M Manifesto Member Joined Nov 22, 2012 Posts 13 Reaction score 2 Aug 4, 2013 #1 Natafuta mwanamke wa ku date naye, mimi nafanya kazi Dodoma na ni mkazi wa Dodoma. Kwa taarifa zaidi ni PM. Umri uwe kuanzia miaka 25 - 30 Thanx, Kind regards, Manifesto 2015
Natafuta mwanamke wa ku date naye, mimi nafanya kazi Dodoma na ni mkazi wa Dodoma. Kwa taarifa zaidi ni PM. Umri uwe kuanzia miaka 25 - 30 Thanx, Kind regards, Manifesto 2015
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Aug 4, 2013 #2 Heee si usogee hapa kwenye madarasa makubwa wapo wa kuchagua au umejaza maji mdomoni
M Manifesto Member Joined Nov 22, 2012 Posts 13 Reaction score 2 Aug 4, 2013 Thread starter #3 Not really!
N Ndala ndefu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 237 Reaction score 42 Aug 4, 2013 #4 Iogope zinaa!
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,095 Aug 4, 2013 #5 Kudate ndo kupanga tarehe?
C chicotton Member Joined Feb 14, 2013 Posts 37 Reaction score 5 Aug 4, 2013 #6 Tafuta mke uoe acha kuitangaza ngono hadharani, hyo ni zambi ya kujiyangaza ambayo ni mbaya zaidi kuliko dhabi ya kimya kimya
Tafuta mke uoe acha kuitangaza ngono hadharani, hyo ni zambi ya kujiyangaza ambayo ni mbaya zaidi kuliko dhabi ya kimya kimya