Natafuta mwanamke kwa ajili ya ndoa

Mimi ni mwanaume mwenye miaka 28. Nina elimu ya chuo kikuu na mjasiriamali. Natafuta mwanamke mrembo mwenye nidhamu na mcha Mungu kwa ajili ya ndoa. Tafadhali ni-PM kwa aliye siriaz.

Tafadhali kabla hujaanza kupokea hizo CV nakushauri ujifunze kwanza nini maana ya ndoa....Kama unafikiri ndoa inaweza kuwekewa matangazo kumtafuta wa kuingia nae hapo sina msaada ila ndoa ni zaidi ya unavyodhani. Kama swala ni mke wako wengi sana tena nakushangaa kuja kutangaza huku wakati kila kona wapo. Mwisho nikutakie mafanikio kama unamaanisha.
 

Ndugu nina akili timamu sijakurupuka. Ninajua nachofanya na sipo kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…